• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mauzo ya nje ya Avocado yamepigwa marufuku  kutokana na bei kupanda

    (GMT+08:00) 2018-01-22 19:32:42
    Usimamizi wa kilimo umepiga marufuku uuzaji wa avocado baada ya upungufu mkubwa ambao umeinua bei ya matunda juu kwa miaka mitatu na nusu.

    Bei ya wastani ya kilo 90 ya avocado ilifikia Sh2,560 mnamo Desemba, na kuifanya gharama kubwa zaidi ya bidhaa.

    Avocado moja hivi sasa inauzwa kati ya Sh50 na Sh80 katika masoko ya rejareja ya Nairobi, kutoka kati ya Sh10 na Sh20 kila wakati wa msimu wa juu.

    Bw Busolo anasema hali hiyo, inatarajiwa, kubadilika kuanzia mwezi ujao wakati msimu mpya utaanza.

    Aina ya jumbo avokado kwa sasa ndio pekee yake inayopatikana kwenye soko.

    Avocado, huchangia asilimia 7, ya mauzo ya jumla ya mazao ya Kenya kwenye soko la kimataifa.

    Uzalishaji wa bidhaa hiyo ulisimama kwa tani 230,948 mwaka 2015, na kupanda kwa tani 246,057 mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako