• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sanchez ataanza kazi Manchester United ijumaa ijayo

    (GMT+08:00) 2018-01-23 09:27:44
    Hatimaye klabu ya manchester United imemsajili mchezaji wa kimataifa wa Chile Alexis Sanchez kutoka klabu ya Arsenal kwa mkataba wa miaka minne nne na nusu.

    Usajili huo umewekezana baada ya Manchester United kukubali sharti la kulipa pauni milioni 14 baada ya makato ya kodi, kumtoa kiungo wake Henrik Mkhitaryan kama mbadala.

    Mkhitaryana ambaye alionekana kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Jose Mourinho, sasa anajiunga na Arsenal na tayari atashiriki mechi ya nusu fainali ya kombe la ligi kesho jumatano dhidi ya Chelsea.

    Kwa upande wake Sanchez atacheza mechi yake ya kwanza, manchester united itakapocheza dhidi ya Yoevil kwenye mechi ya raundi ya nne ya kombe la FA ijumaa ijayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako