• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: I&M Rwanda yanunua Phoenix Metals

    (GMT+08:00) 2018-01-23 19:16:56
    Benki ya I&M Rwanda imenunua kampuni ya Phoenix Metals, inayoyetusha chuma.

    Ununuzi huo umefanywa kwa njia ya mnada baada ya kampuni hiyo kushindwa kulipa mkopo.

    I&M ilinunua kampuni hiyi kwa dola milioni 1.4.

    Mkurugenzi mkuu wa benki hiyo Robin Bairstow, amethibitisha ununuzi huo lakini akasema kuwa uendeshaji wake hautaendeshwa na benki yenwewe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako