• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bandari ya Dar es Salaam imeongeza yapakua magari zaidi

    (GMT+08:00) 2018-01-23 19:18:27
    Bandari ya Dar es Salaam imeongeza ufanisi kwa kupakua magari zaidi ya 600 kwa siku yakiwa tayari kukabidhiwa kwa wateja, kutoka wastani magari 150 kwa mwaka mmoja uliopita.

    Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Freddy Liundi, alisema ufanisi huo upo pia katika mizigo mingine, yakiwemo makasha.

    Liundi alisema kwa sasa bandari yao inafanya vizuri, kuanzia upakuaji na utoaji wa makasha pamoja na magari kulinganisha na hali ya utendaji ilivyokuwa kwa miaka ya nyuma.

    Alisema wanajitahidi kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, lakini wakati mwingine matatizo yanayotokea husababishwa na wadau wao wanaoshirikiana nao kupokea na kusafirisha mizigo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako