• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la dunia mwaka 2026: Morocco yaomba kuandaa

    (GMT+08:00) 2018-01-24 09:50:04
    Taifa la Morocco jana limezindua rasmi kampeni kwa ajili ya kugombea kuwa mwandaaji wa mashindano ya kombe la dunia katika mchezo wa soka mwaka 2026.

    Hii ni mara ya tano kwa nchi hiyo kuwasilisha ombi la kuandaa mashindano hayo likiwahi kuomba kuandaa mwaka 1994, 1998, 2006 na 2010 na mara zote hizo likifeli.

    Katika Kinyang'anyiro cha kuandaa mwaka 2026, Morocco inashindana na mataifa ya Canada, Mexico na Marekani.

    Mshindi wa nafasi hiyo atatangazwa rasmi juni 13 mwaka huu wakati wa mkesha wa kombe la dunia nchini Urusi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako