• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wadau watoa maoni kuhusu timu zilizochaguliwa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya Jumuiya ya madola.

    (GMT+08:00) 2018-01-25 09:25:35
    Wadau na wapenzi wa masuala ya michezo wamesema itakuwa fedheha endapo timu Kenya itashindwa kung'ara kwenye mashindano ya jumuiya ya madola yajayo wakitolea mfano ridha wakidai kuwa lazima timu ikatetee ubingwa wa medali ya dhahabu ilioutwaa katika mashindano yaliyopita mjini Glasgow.

    Maoni hayo yameendelea kutolewa ikiwa ni wiki moja tangu kamati ya kitaifa ya maandalizi ya wanamichezo wanaokwenda kushiriki mashindano hayo kuchagua wachezaji watakaokwenda Australia.

    Pia, wadau hao wamesema ni vyema ikawaandaa wachezaji hao, na ikibidi kuwachuja wasiofaa na kuongeza wanaokidhi vigezo tu kutokana na umahiri na si kuingiza siasa, ukabila wala umaeneo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako