• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya taifa ya Uganda yarejea kutoka Morocco

    (GMT+08:00) 2018-01-25 09:26:16
    Wachezaji wa timu ya taifa ya Uganda wamewasili jana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebbe wa wakitokea Morocco kwenye michuano ya kombe la mataifa ya Afrika.

    Chama cha soka cha Uganda, kimewasihi kuachana na kuwaza kuhusu michuano hiyo kwa kuwa imepita, na sasa waelekeze nguvu zao kwenye ligi kuu kupitia timu wanazozitumikia.

    Uganda hawajapata matokeo mazuri kwenye michuano ya Morocco kwa kufungwa mara mbili na kutoa sare kwenye mchezo mmoja katika hatua ya makundi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako