• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wizara ya micheo kujadili ombi la kocha wa timu ya taifa la kukatishwa mkataba wake

  (GMT+08:00) 2018-01-26 10:01:27

  Shirikisho la mpira wa miguu la Rwanda FERWAFA linaendelea kutafakari barua ya kuliomba kukatisha mkataba wake iliyotumwa na kocha mkuu wa timu ya taifa Antoine Hey.

  Hey ametuma barua ya kuomba kukatisha mkataba kutokana na Amavubi kushindwa kufuzu robo fainali ya mashindano ya Afrika nchini Morocco.

  Kutokana na barua hiyo, Rais wa FERWAFA Vincent Nzamitwa, amesema shirikisho hilo linatarajia kufanya mkutano na Wizara ya Michezo ili kulijadili hilo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako