• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha-Kenya, Brigid Kosgei na Josephat Kipchirchir washinda mbio za Eldoret

    (GMT+08:00) 2018-01-29 09:35:07

    Wanariadha Brigid Kosgei na Josephat Kipchirchir jana wameibuka mabingwa katika mbio za nyika za mjini Eldoret (Discovery Cross Country).

    Katika mbio hizo, Kosgei alishindakwa kutumia dakika 27 na sekunde 30 katika umbali wa kilomita 8 upande wa wanawake.

    Josephat alishinda mbio za kilomita 10 upande wa wanaume kwa kutumia dakika 30 na sekunde 23 akifuatiwa kwa ukaribu na Afred Barkach aliyetumia dakika 30 na sekunde 29.

    Kwenye mashindano hayo ya 27 ya Eldoret, kwa upande wa vijana mabingwa walikuwa ni Ronex Kipruto kwa upande wa wanaume na Roselidah Jepketer kwa upande wa wanawake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako