• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Serikali kuendeleza Sera ya unyunyizaji maji

    (GMT+08:00) 2018-01-29 19:48:18

    Serikali ya Uganda iko katika mchakato wa kuendeleza Sera ya Taifa ya unyunyizaji maji ili kuongoza maendeleo na upanuzi wake wa unyunyizaji maji.

    Rais Yoweri Musevini anaangalia njia za kujenga sekta kilimo kuwa ya kisasa.

    Kwa mujibu wa takwimu rasmi, Uganda ina asilimia ya chini kabisa Afrika Mashariki kwa kutumia uwezo wake wa unyunyizaji maji.

    Tanzania ni asilimia 3.6, Kenya ni asilimia 2 na Burundi ni asilimia 1.6.

    Afisa kutoka Wizara ya Maji alijulisha jukwaa la Udhibiti wa Wilaya ya Lira kuwa Sera ya Taifa ya Umwagiliaji inaendelezwa kwa sababu serikali inachukua maji ya uzalishaji kwa uzito.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako