• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: EABL imepata mkopo wa sh bilioni 12.5 kufadhili ujenzi wa kiwanda cha SenatoKeg

    (GMT+08:00) 2018-01-29 19:48:37

    kampuni ya Afrika Mashiriki ya Pombe EABL imepata mkopo wa sh bilioni 12.5 kutoka kwa benki ya Standard Bank Group ili kufadhili ujenzi unaoendelea wa kiwanda cha Senator Keg huko Kisumu.

    kukamilika kwa kiwanda hiki kunatarajiwa kujenga nafasi 110,000 za ajira, na kushinikiza mahitaji ya sorghum mimea kutoka kwa tani za sasa 20,000 hadi karibu 40,000 katika miaka mitano ijayo.

    ujenzi wa kiwanda hiki inatarajiwa kukamilika mwezi Julai 2019.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako