• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Soko la fedha la Uganda limewekwa nafasi ya 10 Afrika

    (GMT+08:00) 2018-01-29 19:49:00

    Soko la fedha la Uganda limewekwa nafasi ya 10 na alama ya asilimia 47, mbele ya Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Uzinduzi wa Masoko ya Fedha ya Barclays Afrika mwaka 2017.

    Uchunguzi uliofanywa katika nchi 17 za Kiafrika ambazo zinafikia asilimia 60 ya Pato la Taifa, zinaonyesha kuwa Tanzania imewekwa nafasi ya 11 na alama ya asilimia 44.

    Rwanda na Kenya, kwa upande mwingine, nafasi ya 8 na 5 na alama ya asilimia 48 na 59, kwa mtiririko huo.

    George Asante, mkurugenzi mkuu na mkuu wa masoko katika Barclays Afrika, amesema nafasi Uganda ilipata ilitokana na upatikanaji mzuri wa fedha za kigeni hata baada ya uwezo wa kupata pesa katika soko lake la fedha za kigeni limeendelea kuwa chini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako