• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Ofisi ya Kenya ya Viwango imeweka masharti makali vitu bandia

    (GMT+08:00) 2018-01-29 19:49:18

    Kenya inapoteza mamilioni ya shilingi kwa kuenea kwa vyakula na vifaa vya ujezi vyenye viwango vya chini, Ofisi ya Kenya ya Viwango (Kebs) imesema.

    Uchunguzi wa soko unaonyesha kwamba baadhi ya bidhaa zilizoagizwa hazifuati kanuni za afya, usalama na mazingira, Bw Patrick Nduati, Katibu Mkuu wa Uwekezaji na Viwanda amesema.

    Shirika la viwango imejenga ofisi ya kanda ya bonde la ufa na maabara ili kuzuia kuingia kwa bidhaa duni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako