Baraza la Uchumi wa Dunia (WEF) imeorodhesha Tanzania kuwa na uchumi bora zaidi miongoni mwa nchi za Afrika mwaka 2018.
Kulingana na ripoti iliyotolewa na WEF kupitia mradi wake 'Inclusive Development Index (IDI)', Tanzania imechukuwa nafasi ya juu katika uchumi wa pamoja nchini Afrika kutokana na utekelezaji mkubwa wa sera mbalimbali za kiuchumi, ambazo ziwezesha 'wananchi' kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi .
'Inclusive Development Index (IDI) ni tathmini ya kila mwaka ya utendaji wa uchumi wa nchi 103 ambayo inaangalia njisi nchi hizo zinafanya kazi katika vipimo kumi na moja vya maendeleo ya kiuchumi, pamoja na Pato la Taifa.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |