• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mpira wa Wavu-Rwanda, REG watacheza na Gisagara fainali ya Kombe la Mashujaa

  (GMT+08:00) 2018-01-30 11:01:45

  Timu ya mpira wa wavu ya shirika la nishati la Rwanda REG, inatarajiwa kucheza mechi ya fainali ya michuano ya kombe la Mashujaa dhidi ya mabingwa watetezi Gisagara, siku ya jumatano katika uwanja wa ndani wa Amahoro.

  REG walifuzu kwa fainali baada ya kuifunga timu ya chuo kikuu cha Utalii katika mechi ya nusu fainali, na Gisagara walifuzu baada ya kuishinda timu ya Kihere.

  Kwa upande wa wanawake mechi ya fainali itazikutanisha timu za APR na RRA

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako