• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha Kimataifa, Kipchoge wa Kenya kushindana na mabingwa wa dunia katika marathon

    (GMT+08:00) 2018-01-30 10:47:16

    Mwanariadha maarufu wa Kenya Eliud Kipchoge anatarajiwa kuchuana vikali na wakimbiaji maarufu wawili, Kenenisa Bekele wa Ethiopia na Mo Farah wa Uingereza kwenye mashindano ya London mwezi machi mwaka huu

    Kipchoge ni bingwa mara mbili wa marathon ya Olimpiki, ambayo alishinda mwaka 2015 na 2016, anashindana Kenenisa Bekele ambaye anashikilia rekodi ya dunia katika mbio za marathon fupi na ndefu.

    Lakini Mo Farah ni bingwa mara kadhaa katika mbio za marathon kwa barani Ulaya na nchini Uingereza, hivyo watatu hao watakutana katika mashindano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako