• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya Gofu Kenya; Nelson Mudanyi aongoza raundi ya pili

    (GMT+08:00) 2018-01-30 10:54:36

    Mchezaji wa Gofu kutoka Kenya, Nelson Mudanyi amefanikiwa kuongoza kwa alama za kufuzu kati ya wachezaji wote wanaoshiriki michuano ya Kenya kwa mwaka huu baada ya kupoteza mipira michache mchezoni.

    Ikilinganishwa na alivyofuzu mwaka jana Mudanyi amepungua kwa alama mbili kwani mwaka huu amemaliza raundi ya pili kwa kupata alama 67 na mwaka jana ilikuwa juu zaidi kwa kupata alama 65.

    Mchezaji aliyeshika nafasi ya pili jana ni John Wangai, lakini mchezaji aliyepiga mpira mrefu kuliko wote ni Dismas Indiza, na michuano hiyo inaendelea asubuhi hii katika viwanja vya Muthaiga mjini Nairobi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako