• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kampuni 31 marufuku kutoa huduma kwa serikali Uganda

    (GMT+08:00) 2018-01-30 19:35:25

    Kampuni 31 nchini Uganda zimepigwa marufuku kutoa huduma zozote zile kwa serikali kutokana na ukiukaji wa kandarasi na kuwasilisha stakabadhi bandia.

    Mamlaka ya kusimamia ununuzi wa serikali imechapisha majina ya kampuni hizo.

    Kampuni zilizosimamishwa mwaka 2017 zimeongezeka ikilinganishwa na za mwaka 2016 ambapo kampuni 28 zilipigwa marufuku.

    Baadhi ya kampuni zilizopigwa marufuku ni pamoja na Eddovad Civil Engineering na Mawenzi Investments ambazo ziliwasilisha ripoti bandia za benki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako