• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Madereva Kenya walalamikia wizi wa chai

    (GMT+08:00) 2018-01-30 19:36:36

    Wasafirishaji wa chai nchini Kenya wamelalamikia wizi wa bidhaa hiyo katika eneo la kati ya Voi na Mombasa ambao umewasababishia hasara.

    Madereva wa malori waliopewa kandarasi ya kusafirisha chai na shirika la maendeleo ya chai KTDA wameripoti zaidi ya matukio 7 ya wizi ndani ya miezi mitatu iliopita.

    Kila lori husafirisha chai ya kilo 26,000 ya thamani ya dola $100,000.

    Duru za polisi zinaarifu kuwa kumekuwa na matukio mawili ya wizi wa chai yalioripotiwa lakini bado KTDA haijawasilisha malalamiko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako