• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Mikono, Rwanda: Mashindano ya siku ya mashujaa kufanyika Februari 3 na 4.

    (GMT+08:00) 2018-01-31 10:49:05

    Nchini Rwanda, timu kumi na tano za wanawake na wanaume, zinatarajia kushindana katika michuano ya siku ya mshujaa mwaka huu, itakayofanyika Februari 3 na Februari 4.

    Kwa upande wanawake timu zitakazochuana ni APPEGA, GS Mwendo, Gorillas, TTC de La Salle na ES Kirambo.

    Lakini kwa upande wa wanaume, timu zitakazoshiriki ni APR, Polisi, Nyakadanda, CBE, Nyatagare, GS Munyove, Inkumburwa, ES Kirambo, ADEGI na TTC de la Salle.

    Katibu mkuu wa chama cha mpira wa mikono, Jean Paul Nagarambe timu washindi watatu kila upande zitawadiwa.

    Mabingwa watetezi wa mashindano hayo, ni APR kwa upande wa wanaume, na kwa upande wa wanawake ni Gorillas.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako