• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kamati ya Nidhamu ya Shrikisho la vyama vya riadha duniani IAAF iko nchini Kenya kuchunguza na kufanya hitimisho kuhusu kesi inayowaandama viongozi wa zamani wa chama cha riadha cha Kenya waliosimamishwa.

  (GMT+08:00) 2018-01-31 10:49:46

  Kamati ya Nidhamu ya Shrikisho la vyama vya riadha duniani IAAF iko nchini Kenya kuchunguza na kufanya hitimisho kuhusu kesi inayowaandama viongozi wa zamani wa chama cha riadha cha Kenya waliosimamishwa.

  Ni mwezi mmoja tangu kamati hiyo iliyoingia nchini Kenya tangu mwezi mmoja uliopita ikiwa chini ya katibu wake Sadler Forster, na tayari imekwishafanya mahojiano na wanaridha pamoja na maofisa wa chama cha riadha katika miji ya Nairobi na Eldoret.

  Mwaka 2015, IAAF iliwasimamisha viongozi watatu wa chama cha riadha Kenya kwa kile kilichodaiwa kuhujumu zoezi la kupima hali za wanariadha kuhusu matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako