• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Tanzania: Matokeo ya mechi za kufuzu 16 bora ya kombe la Shirikisho jana

    (GMT+08:00) 2018-02-01 14:40:02

    Katika mechi za kufuzu hatua ya 16 zilizopigwa jana katika viwanja tofauti jana, timu za Prisons FC, MajiMaji, Mtibwa, Kiluvya United, Stand United, Njombe Mji, na Singida United zimefanikiwa baada ya kushinda kwenye mechi hizo.

    Timu hizo zitaungana na timu zingine zilizofuzu baada ya ushindi katika mechi zilizopigwa juzi, ambazo ni Buseresere, Mbao FC, Dodoma FC, Azam FC, Yanga, Ndanda FC, JKT Tanzania.

    Lakini ikisubiriwa mechi moja iliyosalia baina ya KMC na Toto Africans kabla ya kufanyika kwa droo za mechi za hatua ya 16 bora.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako