• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kikosi cha askari wa uhandisi wa China wa kulinda amani nchini Sudan Kusini chapita kwenye tathmini ya UN

    (GMT+08:00) 2018-02-02 09:44:59

    Kikosi cha nane cha askari wa uhandisi wa China wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, kimepita kwenye tathmini ya uwezo wa kulinda amani iliyofanywa na Tume ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini.

    Hii ni mara ya kwanza kwa kikosi hicho cha China kufanyiwa tathmini tangu kianze kutekeleza majukumu nchini Sudan Kusini mwezi Septemba mwaka jana.

    Mkuu wa kusimamia tathimini hiyo Bw Karch Nadir Hussain amesema amepata mengi ya kujifunza kwenye tathmini hiyo, pia anaamini kuwa kikosi hicho cha China kina uwezo mkubwa wa kukamilisha majukumu yake kwa mafanikio.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako