• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Raga-Jumuiya ya Madola, Kenya yapangwa kundi moja na mabingwa wa Dunia New Zealand

    (GMT+08:00) 2018-02-02 10:19:55

    Timu ya taifa ya raga ya Kenya imepangwa kundi moja na mabingwa wa dunia New Zealand katika mashindano ya mwaka huu ya jumuiya ya madola yanayotarajiwa kufanyika mwezi April.

    Kwa mujibu wa droo hiyo iliyofanyika jana, Kenya wamepangwa kundi C, ikiwa na timu zingine za Canda na Zambia.

    Michuano hiyo ina makundi manne kwa upande wa wanaume, na makundi mawili kwa upande wanawake na kwa upande wa wanawake Kenya imepangwa A pamoja na timu za Afrika Kusini, Canada na New Zealand.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako