• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Magongo, Uingereza: Timu yamfungia mchezaji wake aliyempiga ngumi shabiki

    (GMT+08:00) 2018-02-02 10:19:55

    Timu ya Milton Keynes inayoshiriki ligi ya mpira wa magongo katika viwanja vya kwenye barafu imemfungia mchezaji wake Matt Nickerson kutoshiriki mechi 20 kutokana na vitendo viwili vya utovu wa nidhamu, moja, akidawa kumpiga ngumi shabiki, na lingine akiwa na tuhuma za kumtusi mwamuzi.

    Mchezaji huyo raia wa Marekani amedaiwa kufanya vitendo hivyo jumapili iliyopita kwenye mechi ya ligi kuu dhidi ya Guildford.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako