• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia 2018, hofu yatanda baada ya panzi waharibifu wa majani kuibuka nchini Urusi

    (GMT+08:00) 2018-02-02 10:19:55

    Ikiwa imesalia miezi michache kuanza kwa mashindano ya kombe la dunia, kumekuwa na hofu mpya kufuatia ibuko la nzige waharibifu nchini Urusi ambao wameanza kushambulia mimea.

    Kwa kuwa nzige hupendelea majani ya rangi ya kijani, mamlaka za nchi hiyo zimeingiwa wasiwasi kwamba huenda wakaanza kuvamia viwanja vitakavyotumika kwenye mashindano hayo yatakayoanza rasmi juni 14 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako