• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Soka, Rwanda: Rayon Sport ndiyo mabingwa wapya wa kombe la Mashujaa

  (GMT+08:00) 2018-02-02 10:21:25

  Rayon Sport ndiyo mabingwa wapya wa kombe la Mashujaa la mchezo wa soka nchini Rwanda kufuatia ushindi waliopata wa magoli 2-1 waliopata jana kwenye mechi dhidi ya mabingwa watetezi APR.

  Magoli ya Rayon katika mechi hiyo iliyofanyika katika uwanja wa Amahoro, yalipatikana kupitia Hussein Shaban katika dakika ya 4 na Issa Bigirimana aliyefunga la pili mnamo dakika ya 77, huku goli la moja la APR likifungwa na Muhadjir Hakizimana.

  Kwa ushindi huo Rayon walifanikiwa kuongoza kwenye msimamo wa mashindano hayo kwa kufikisha pointi sasa, na kwa kuwa mabingwa walizawadiwa kombe, medali za dhahabu na fedha kiasi ya Faranga za Rwanda milioni 6.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako