• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kasi ya ongezeko la uchumi wa China yakadiriwa kuwa asilimia 6.7 hadi 6.9

    (GMT+08:00) 2018-02-02 19:35:18

    Ofisa mwandamizi wa Kamati ya Biashara na Maendeleo ya Umoja wa Mataifa UNCTAD Bw. Liang Guoyong ametoa ripoti ya 'Mabadiliko ya dunia na busara ya China' inayosema, kasi ya ongezeko la uchumi wa China kwa mwaka huu inatarajiwa kuwa kati ya asilimia 6.7 hadi 6.9.

    Ripoti hiyo imeeleza uzoefu wa miaka 40 tangu China itekeleze sera ya mageuzi na kufungua mlango kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Bw. Liang katika miaka kumi iliyopita kuhusu ramani mpya ya uchumi wa duniana njia mpya ya maendeleo ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako