• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Leeds United ya Uingereza yamfukuza kazi kocha wake.

    (GMT+08:00) 2018-02-05 08:44:43

    Klabu ya Leeds United inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Uingereza, jana imemfukuza kocha wake mkuu Thomas Christiansen, baada ya matokeo ya kufungwa magoli 4-1 na Cardiff City.

    Christainsen ameshindwa kupata matokeo mazuri katika mechi sita mfululizo jambo lililohatarisha nafasi ya timu hiyo katika kinyang'anyiro cha kupanda daraja msimu ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako