• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya Ligi Kuu Uingereza: Salah na Kane waandika rekodi mpya

    (GMT+08:00) 2018-02-05 08:59:42

    Mchezaji wa Tottenham Hotspurs Harry Kane ameingia kwenye rekodi baada kufikisha magoli 100 kufuatia goli moja alilofunga jana dhidi ya Liverpool.

    Hivyo anakuwa mchezaji wa tano aliyewahi kufanya hivyo lakini akiwa wa pili kwa kufunga magoli hayo katika mechi chache (141), nyuma ya Alan Shearer aliyefunga katika mechi 124.

    Lakini wakati Kane akifanya hivyo kwa upande mwingine Mohamed Salah alifunga mabao mawili na sasa anakuwa mchezaji wa kwanza wa Liverpool kufunga mabao 20+ katika mechi chache zaidi (25).

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako