• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wamiliki wa mabasi wamekaribisha kuongezwa kwa nauli ya SGR mwezi Aprili

    (GMT+08:00) 2018-02-05 19:16:34

    Mpango wa Shirikisho la Reli Kenya (KRC) kuondoa nauli za zamani za SGR katika miezi miwili ijayo imekaribishwa na wamiliki na mameneja wa makampuni ya basi yanayoenda Nairobi na Mombasa kama mashindano ya mabadiliko ya ubora wa huduma.

    Mkurugenzi Mtendaji wa Reli ya Kenya Atanas Maina alisema kuwa bei hizo zitarekebishwa hadi Sh1,200 kutoka Sh700 baada ya kupitishwa na Wizara ya Usafiri, ili kuwa kiwango kimoja na basi.

    Mabasi yalilalamikia nauli ya chini SGR inalipisha wateja wake, ambayo waliona na tishio kwa biashara zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako