• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Sonko ameamuru majengo yote mjini Nairobi kupakwa rangi upya

    (GMT+08:00) 2018-02-05 19:16:59

    Gavana wa Nairobi Mike Sonko ameamuru majengo yote mjini Nairobi kufanyiwa ukarabati na kupakwa rangi upya ili kuvutia biashara.

    Sonko amesema mejengo mengi ndani ya mji wa Nairobi yako hali mbaya.

    Aidha amesema Nairobi ni kitovu cha makampuni kadhaa ya kitaifa na makao makuu kwa mashirika kadhaa ya dunia na kwa hiyo inapaswa kuvutia.

    Bila shaka barabara kadhaa kubwa ndani ya CBD na maeneo mengine yamefanyiwa ukarabati kwa viwango vinavyotakiwa.

    Agizo ili lilkuja karibu wiki moja baada ya gavana kuzindua programu ya kuremembesha Nairobi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako