• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika kufanya ziara nchini China

    (GMT+08:00) 2018-02-06 08:35:46

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Geng Shuang amesema, mwenyekiti wa kamati ya Umoja wa Afrika Bw. Moussa Faki Mahamat atafanya ziara rasimi ya siku tatu nchini China kuanzia kesho.

    Katika ziara hiyo, Bw. Mahamat pamoja na mwenyeji wake Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bw. Wang Yi wataendesha kwa pamoja mazungumzo ya saba ya kimkakati kati ya China na Umoja wa Afrika.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako