• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CAF yaliruhusu taifa la Cameroun kuendelea na maandalizi ya mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika 2019

    (GMT+08:00) 2018-02-06 09:05:54

    Mashaka juu ya uandaaji wa mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2019 yamekwisha baada ya CAF kuwaruhusu Cameroun kuendelea na maandalizi.

    Hofu hiyo ilitokana na kile kilichodaiwa kuwa Cameroun hawakuwa tayari kimiundo mbinu, na mzigo ukionekana kuwa mkubwa baada ya timu shiriki kuongezeka na kuwa 24 badala 16 za awali.

    Lakini baada ya uchunguzi uliofanywa na maofisa wa CAF nchini Cameroun na kisha kuridhishwa na maandalizi, CAF wametoa ruhusu kwa taifa hilo kuendelea kufanya maandalizi kwa ajili ya michuano hiyo inayotarajiwa kuanza June 7 hadi July 7 mwakani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako