• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Kampuni ya Africa Improved Foods kuongeza maradufu ununuzi wa mahindi na soya

    (GMT+08:00) 2018-02-06 18:47:06

    Kampuni ya Africa Improved Foods imesema itaongeza maradufu ununuzi wa mahindi na soya kutoka kwa wakulima nchini Rwanda.

    Kampuni hiyo imesema inalenga kuzalisha bidhaa za chakula za hadi tani 45,000 mwaka huu likiwa ni ongezeko kutoka tani 35,000 za mwaka jana.

    Mkurungezi wa kitengo cha biashara Darshana Joshi, amesema wanalenga kujinufaisha na soko linaloendelea kuongezeka la bidhaa za watoto kwenye kanda ya Afrika Mashariki.

    Amesema kwa sasa kampuni hiyo inanunua tani 5,000 za mahindi na tani 500 za soya kutoka kwa wakulima na vyama vya ushirika nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako