• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • wanamichezo 32 wa Urusi wakata rufaa baada ya kuzuia kushiriki mashindano ya Korea.

    (GMT+08:00) 2018-02-07 09:08:34

    Wanamichezo 32 kutoka Urusi wamekata rufaa baada ya kutoruhusiwa kushiriki mashindano ya Olimpiki ya majira ya baridi nchini Korea Kusini.

    Miongoni mwao ni wale ambao walifunguliwa na Mahakama ya usuluhishi michezoni CAS kutoka vifungo vya maisha walivyokuwa wafungiwa kutokana na kashfa ya matumizi ya kuongeza nguvu iliyopigwa marufuku michezoni.

    Kamati teule ya Olimpiki inakaa leo jumatano kujadili hatma yao ikiwa ni siku mbili tu zimesalia kuanza kwa mashindano hayo mjini PyeongChang.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako