• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Vijana 60 kushiriki mashindano ya kwanza ya Afrika Msahariki yatakayofanyika nchini Rwanda

  (GMT+08:00) 2018-02-08 10:02:54

  Zaidi ya watoto 60 wenye umri wa kuanzia miaka 5 hadi 13 wanatarajiwa kushiriki mashindano ya kwanza ya Taekwondo Afrika Mashariki yatakayofanyika jumamosi ijayo mjini Kigali nchini Rwanda.

  Kwa mujibu wa shirikisho la mchezo wa Taekwondo nchini Rwanda, mashindano hayo yatashirikisha vijana hao ambao ni kutoka shule tisa tofauti za mchezo huo, saba zikiwa na za nchini Rwanda na mbili za nchini Kenya.

  Kwa mujibu wa Shirikisho hilo, mashindano hayo yatakuwa yakifanyika kila mwaka, lengo likiwa ni kuuimarisha mchezo huo katika ukanda wa Afrika Mashariki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako