• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mbio za Nyika za Kitaifa Uganda: Orodha ya majina ya watakaoshiriki yatajwa jana

  (GMT+08:00) 2018-02-08 10:03:16

  Orodha ya wanariadha Wanariadha machachari wa mbio ndefu nchini Uganda waonatarajia kushindana katika Mbio za kitaifa za nyika za mjini Jinja mwaka huu imetolewa jana akiwemo mshindi wa medali ya fedha katika mbio za dunia za mita 10,000 za mwaka jana Joshua Cheptegei.

  Akitaja majina ya washiriki wa mbio hizo, Rais wa shirikisho la Riadha la Uganda, Dominic Otucet amesema lengo la mashindano hayo licha ya kutafua washindi, pia yatatumika kuwapima wanamichezo wake ambao wanakwenda kushiriki mashindano ya jumuiya ya madola mwezi Aprili nchini Australia.

  Nyota wengine watakaoshiriki mbio hizo zitakazofanyika jumamosi ijayo ni, Jacob Kiplimo, Ronald Musagara, na Abu Mayanja.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako