• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Mwanariadha wa Uingereza apigwa marufuku kushiriki mashindano kutokana na tuhuma za kutumia zilizopigwa marufuku michezoni

  (GMT+08:00) 2018-02-08 10:03:45

  Mwanariadha Nigel Levine kutoka Uingereza amefungiwa kushiriki michuano ya aina yoyote kutokana na tuhuma za kutumia dawa zilizokatazwa michezoni, ambapo baada ya kupimwa mwezi dsemba mwaka jana alibainika kutumia dawa aina ya clenbuterol.

  Kutokana na hatia hiyo, Nigel ambaye ni mshindi wa medali ya dhahabu katika mbio za Hispaniaza Januari mwaka jana, sasa amepewa nafasi ya kujitetea kwa mamlaka ya kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni ya nchini Uingereza kabla kifungo chake hakijathibitishwa muda wake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako