• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rufaa ya wanamichezo 32 wa Urusi iliyoanza kusikilizwa jana, huenda ikatolewa uamuzi kesho

  (GMT+08:00) 2018-02-08 10:04:07

  Mahakama ya usuluhishi kwenye masuala ya michezo CAS jana imeanza kusikiliza rufaa za wanamichezo wa 32 Urusi ambao hawajaruhiswa kushiriki michuano ya Olimpiki ya Korea licha ya kuwa wamefutiwa vifungo vyao kutokana na kesi ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu michezoni.

  Baada ya kushindwa kufikia muafaka jana, CAS inaendelea na kesi hizo leo na huenda majibu yakatolewa kesho, katika siku ambayo mashindano ya Korea yanaanza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako