• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Patrice Evra ajiunga na klabu ya West Ham United

  (GMT+08:00) 2018-02-08 10:04:29

  Klabu ya West Ham United imekamilisha usajili wa mlinzi mkongwe wa kimataifa kutoka Ufaransa Patrice Evra, kwa mkataba mfupi utakaomalizika mwishoni mwa msimu huu.

  Evra ambaye amejiunga na West Ham kama mchezaji huru huenda akajumuishwa katika kikosi kitakachocheza jumamosi ijayo dhidi ya Watford, kujiunga na klabu hiyo kumefuta uvumi kuwa huenda angejiunga na Everton ama kurejea katika klabu yake ya zamani ya Manchester United.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako