• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Olimpiki ya Majira ya Baridi kufunguliwa leo mjini Pyeongchang nchini Korea Kusini

  (GMT+08:00) 2018-02-09 08:55:26

  Mashindano ya 23 ya Olimpiki ya majira ya baridi (Winter Olympics) yanafunguliwa rasmi leo mjini Pyeongchang nchini Korea Kusini.

  Katika mashindano hayo jumla ya wanamichezo 2,952 kutoka mataifa 92, watashiriki katika matukio 102 ya michezo 7 tofauti iliyogawanywa mara 15.

  Mashindano hayo yatafikia tamati Februari 25 na yanatarajiwa kuwa yenye baridi zaidi kuliko yote yaliyowahi kufanyika kwani vipimo vinaonyesha kuwa yatafikia nyuzi joto -21 katika kipimo cha sentegredi ikivunja rekodi ya mashindano ya mwaka 1994 nchini Norway yaliyopimwa nyuzi joto -11.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako