• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Timu ya Gisagara yapanga matumizi ya milioni 85 kwa msimu huu

  (GMT+08:00) 2018-02-09 08:58:25

  Klabu mabingwa watetezi wa ligi kuu ya mpira wa wavu nchini Rwanda Gisagara, imekadiria kuwa itatumia takribani fedha yenye thamani ya faranga za Rwanda milioni 85.

  Kwa mujibu wa Rais wa klabu ya Busagara Francosi Xavier, milioni 30 zitatumika wakati wa mashindano ya klabu bingwa Afrika mwezi Machi nchini Misri, na milioni 55 zitakuwa za matumizi mengine kama kodi, mishahara ya wachezaji, usafiri na chakula.

  Rais huyo amesema pesa hizo zimetokana na michango mbalimbali ya wapenzi wa timu hiyo, na kati ya hizo milioni thelathini zilichangwa kutoka serikali ya Wilaya ya Gisagara.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako