Wachezaji wapatao 171 wanatarajiwa kuchuana vikali kwenye hatua ya tatu ya mashindano ya mchezo wa Gofu ya Nakuru ambayo yanatarajiwa kufanyika wikendi hii.
Wengi wa wachezaji hao wanatoka kati miji ya Nakuru, Naivasha, Njoro na Eldoret, akiwemo bingwa mtetezi ambaye ni kutoka klabu ya Eldoret Andrew Chelogoi.
Wakati hayo yakiendelea mjini Nakuru, kwingineko mjini Mombasa kutakuwa na mashindano maalum ya wanawake maarufu kama Lady Captain's Prize.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |