• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Droo ya upangaji wa mechi ya hatua ya 16 bora ya mashindano ya kombe la shirikisho nchini Tanzania yafanyika

  (GMT+08:00) 2018-02-09 08:59:10

  Young Africans ya Dar es Salaam imepangwa kucheza na Majimaji ya songea kwenye mechi ya kombe la shirikisho nchini Tanzania, wakati Azam imepangwa kucheza na KMC katika uwanja wake wa nyumbani.

  Dodoma FC itacheza na Stand United ya Shinyanga, JKT Tanzania itacheza na Ndanda FC ya Mtwara, Tanzania Prisnons itacheza na Kiluvya United, wakati Njombe Mji itakuwa nyumbani dhidi ya Mbao FC.

  Na klabu ya Buseresere ya Mwanza itacheza na timu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro huko Tanzania.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako