• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya:Sekta ya viwanda ya Kenya yakuwa.

  (GMT+08:00) 2018-02-09 17:38:19

  Sekta ya viwanda nchini Kenya imekuwa kwa mara ya kwanza katika mda wa miaka 2 mwaka huu.

  Utafiti wa masuala ya uchumi umeonyesha kwamba shughuli za viwanda zimeongezeka kwa asilimia 52.9 kutoka mwezi January Disemba mwaka 2016.

  Kilimo kimetajwa kukuwa kwa kiasi kikubwa mwaka 2017 hivyo kuchangia ongezeko la shughuli za viwanda.

  Biashara ya mauwa kwa nji za nje imeongezeka baada ya kuzuka kwa wateja wapya kutoka nchi za nje.

  Mwaka huu ,wataalamu wa masuala ya uchumi wametabiri ukuwaji wa sekta ya viwanda kufuatia ukuwaji wa ujasiriamali na kilimo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako