• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Mauzo ya bidhaa yakuwa kwa silimia 57.6

    (GMT+08:00) 2018-02-09 17:39:15

    Jumla ya mauzo ya nje ya Rwanda yameongezeka hadi dola milioni 943 ambayo ni asilimia 57.6 mwaka 2017 ikilinganishwa na dola milioni 589 mwaka 2016.

    Waziri wa fedha na mipango ya kiuchumi wa Rwanda Claver Gatete amesema ukuwaji huo umetokana na mauzo ya madini yaliongezeka kwa asilimia 210.

    Wizara hiyo inataka kuongeza bajeti ya sekta ya matumizi ya fedha hadi franki bilioni 20.5.

    Rwanda imefanikisha ukuwaji wa uuzaji wa madini kama vile gesi na kuvutia wawekezaji wengi mwaka uliopita.

    Rwanda pia imepata fedha nyigi kutoka kwa mauzo ya kahawa na chai kwa asilimia 9.6 na 32.9 mtawalia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako