• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Serikali kuu ya China yatoa salamu za rambirambi kufuatia ajali ya basi mkoani Hong Kong

  (GMT+08:00) 2018-02-11 15:47:37

  Serikali kuu ya China imetoa salamu za polepole kwa familia za wahanga wa ajali ya basi iliyotokea jana huko Hong Kong na kusababisha vifo vya watu 19 na wengine wengi kujeruhiwa.

  Barua iliyotumwa na Ofisi ya Masuala ya Hong Kong na Macao ya Baraza la Serikali ya China pia imesema serikali kuu ya China imefahamu kuwa serikali ya mkoa wenye utawala maalum wa Hong Kong imechukua hatua za dharura katika kuwaokoa majeruhi kwa kutumia rasilimali zote na kushughulikia masuala husika.

  Serikali kuu ya China pia inawatakia majeruhi kupona mapema.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako