• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hali ya hewa yaboreshwa nchini China kwa mwaka 2017

  (GMT+08:00) 2018-02-11 17:03:53

  Hali ya hewa nchini China kwa mwaka jana imeboreshwa baada ya hatua za kupunguza uchafuzi kuonesha ufanisi wake.

  Hayo yamo kwenye taarifa iliyotolewa leo na Mamlaka ya Hali ya Hewa ya China, ambayo inasema mwaka jana, siku zenye ukungu mkubwa zilikuwa ni 27.5 kwa wastani kote nchini China, ambayo ni pungufu ya siku 10.5 ikilinganishwa na mwaka 2016, na pungufu ya siku 19.4 kuliko mwaka 2013.

  China imeanza kutekeleza mpango wa kukabiliana na uchafuzi wa hali ya hewa na kufanya vita kulinda mawingu ya bluu mwaka 2013.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako