• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNDP yatoa dola milioni 17 za kimarekani kusaidia makampuni madogomadogo ya Libya

    (GMT+08:00) 2018-02-12 08:04:21

    Wizara ya serikali za mitaa ya Libya imesema Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa mataifa UNDP limetoa dola za kimarekani milioni 17 kufadhili miradi midogo katika baadhi ya miji nchini Libya. Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo inasema, fedha hizo zitatumiwa kusaidia baadhi ya makampuni madogomadogo nchini humo, lakini haikutaja ni miradi gani inayolengwa kwenye mpango huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako